Habari za Punde

Mhe Nahodha atembelea Ofisi ya TZ Umoja wa mataifa

 Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu  cha  wageni  Ofisini kwa  Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe. Nahodha alikuwa  Nchini Marekani kwa ziara ya kikazi
 Karibu na ahsante kwa kuja kututembelea"  Mwakilishi  wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika  Ofisi za Tanzania  Umoja wa Mataifa.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.