Habari za Punde

Ufungaji wa mashindano ya riadha uwanja wa Amaan


 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji  wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga leo katika uwanja wa Amaani Studium [Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mtoto  Sofia Kombo Makame aliyekimbia umbali wa kilomita nyingi kutokana na umri wake katika mashindano ya Riadha zawadi hiyo alipewa wakati wa ufungaji wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba   katika uwanja wa Amaani Studium leo Mjini Unguja,[Picha na Ikulu,] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi Kombe la Ushindi wa Jumla kwa Kassim Hussein Saleh na fedha tasilimu Shilingi Millioni  Moja akiwakilisha wilaya ya Mjini  iliyopata medali 17 za zahabu,13 fedha na 5 za Shaba katika ufungaji wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga leo katika uwanja wa Amaani Studium (kushoto) Kaimu Waziri wa Habari,Utalii,Utamadunu na Michezo pia Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdilahi Jihadi Hassan [Picha na Ikulu.]

 Wanamichezo kutoka wilaya ya Kaskazini A Unguja na Kusini Unguja wakiwa katika uwanja wa Amaan Studium wakati wa ufungaji  wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga leo katika uwanja wa Amaani Studium yaliyofungwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein [Picha na Ikulu.]
 
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Baraza  la Michezo Bi Sharifa Khamis (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Riadha Zanzibar Abdulhakim Cosmas Chasama (kushoto)  baada ya kutoa nishani kwa wakimbiaji wa mashindano ya Riadha wakati wa ufungaji katika uwanja wa Amaan Studiam leo,[Picha na Ikulu.]
 

 

2 comments:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.