Habari za Punde

Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Azungumza na Waandishi Zenj

 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg, Nape Mnauye, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanziba.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg, Nape, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Viongozi wa CCM wakimsikiliza Ndg. Nape alipokutana na Waandishi wa habari kutoa taarifa ya Chama. 
                                 Waandishi wakiwa makini wakimsikiliza Ndg. Nape

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.