Habari za Punde

Mafunzo ya uwezeshaji kwa kaya masikini yafanyika Vitongoji, Chake

 WASHIRIKI wa mafunzo ya uwezeshaji kwenye mpango wa kuziwezesha kaya masikini kupitia mfuko wa maendeleoya jamii Tanzania TASAF III, mafunzo hayo yalifanyika Chuo cha Amali Vitongoji Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 AFISA Mdhamini afisi ya Makamu wa pili wa rais Pemba Issa Juma Ali, akimkaribisha mkuu wa mkoa wa kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, ili afungue mafunzo ya kuwajengea uwezo wawezeshaji kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini, mafunzo yaliofanyika Chuo cha Amali Vitongoji Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe: Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wawezeshaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini, mafunzo yaliofanyika Chuo cha Amali Vitongoji Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.