Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar kilichoitoa timu ya Azam katika mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kushinda kwa njia ya Penenti kila timu imepiga penenti 8, na Mtibwa kushinda 7-6.
Kikosi cha timu ya AZAM kilichokubali kipigo kutoka kwa timu ya Watoto wa Turiani Morogogo timu ya Mtibwa Sugar, wakati wa mchezo wao wa Robo Fainal uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa timu ya Azam Jonh Boko akiwa hewani kupiga mpira wakati wa mchezo wao na timu ya Mtibwa.
Mshambuliaji wa timu ya Azam akiruka kihuzi cha beki wa Mtibwa Sugar.wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan, Mtibwa wameshinda kwa penenti 7-6.
Mshambuliaji wa timu ya Azam akimpita beki wa timu ya Mtibwa.Kazi hiyo ya kuwanias mpira beki wa Mtibwa na mshambuliaji wa Azam
No comments:
Post a Comment