Habari za Punde

Mtaa wa Muembetanga Unavyoonekana

Mandhari ya mtaa wa muembetanga ukiwa kila siku ukibadilika kwa ujenzi wa majumba ya kisasa ya gorofa kama inavyooneka pichani katika eneo hilo.

1 comment:

  1. Zanzibar bado bado kabisa hatuna town planning. Pamoja na ghorofa zote hizo hakuna parking areas, hakuna eneo la wazi (mabustani) hakuna sewerage system inayofahamika almurad tafrani, kujenga majumba mazuri na makubwa ndio tunajitahidi lakini shida yetu kubwa planning, ni zero kabisa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.