Habari za Punde

WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JUNI 10,2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na  wanafunzi na walimu wa shule ya msingi na awali ya Bahabena iliyopo Kibaha mkoani Pwani katika viwanja vya bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2025 .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule ya msingi na awali ya Bahabena iliyopo Kibaha mkoani Pwani, katika viwanja vya bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2025
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.