Habari za Punde

Rais Kikwete Akutana na Rais wa Ufaransa Francois Hollande Jijini Paris.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28,2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande  katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande  katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na  mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
.(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.