Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, naibu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.(PICHA NA IKULU)
TCAA inashiriki Wiki ya Utumishi wa Umma kwa Kutoa Elimu Kuhusu Huduma Zake
na Fursa za Mafunzo Kupitia Chuo cha CATC
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeungana na taasisi mbalimbali
za umma kushiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
yanayofanyik...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment