Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Abrahaman Kinana, akiwasili katika viwanja vya Tawi la CCM kilimani kupata ripoti ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Wananchi wa Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Abrahaman Kinana, akivishwa kiskafu na Vijana wa Chipukizi wakati wa kuwasili katika Tawi la CCM Kilimani Unguja kuaza kwa ziara yake ya Siku kumi katika Majimbo ya Unguja.
Waheshimiwa Wabunge na Wawakilishi wa Majimbo ya Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Katibu Mkuu Ndg. Abrahaman Kinana, akizungumza na Viongozi CCM wa Wilaya ya Mjini. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa tawi la CCM Kilimani Unguja.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini, akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchanguzi na kazi za Chama katika Wilaya ya Mjini, kabla ya kuaza kwa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abrahaman Kinana, mkutano huo wa taarifa umefanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abrahaman Kinana akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini wakati wa kupokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchanguzi ya CCM kwa Wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abrahaman Kinana akisalimiana na Wananchi wa Jimbo la Jangombe tawi la CCM Matarumbeta. akiwa katika ziara yake kutembelea miradi na utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa Wananchi.na kuimarisha Chama.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abrahaman Kinana akimkabidhi seti ya Jezi Kiongozi wa timu ya AFC,Shehia ya Matarumbeta jimbo la Jangombe, Vifaa hivyo vimetolewa na Mbunge na Mwakilishi na kuchangia mabati kwa msikiti wa Bomani.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg Abrahaman Kinana akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Kikundi cha Vijana wa Jimbo la Jangombe, akipokea Kiongozi wa Ushirika huo Ndg.Burhani Ali, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu alipotembelea Tawi la CCM Matarumbeta Jimbo la Jangombe Unguja.
Mbunge wa Jimbo la Kwahani Mhe Husein Mwinyi, akizungumza wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abrahaman Kinana alipotembelea Jimbo la Kwahani kuzindua mradi wa kisima na uwekaji wa mabomba ya maji, kwa ajili ya huduma ya wananchi wa jimbo hilo kuondoa tatizo la maji.
Katibu wa Jimbo la Kwahani Ndg, Ibrahim Baraka Kasongo, akisoma taarifa ya utekelezaji wa Iani ya Uchanguzi ya CCM, wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Mjini, alipotembelea na kuzindua Mradi wa kisima na uwekeji wa mabomba ya maji safi na salama kwa wananchi wa shehia ya mikunguni.
Vijana wa Jimbo la Kwahani wakishangilia wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Jimbo la Kwahani luzindua mradi wa maji safi na utandazaji wa mabomba ya maji safi yan ayowekwa kupitia Mbunge na Mwakilishi wa jimbo hilo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abrahaman Kinana akiwa katika ujenzi wa Taifa kuchimba mitaro ya kutandazia mabomba ya maji safi na salama wakati wa ziara yake kuimarisha Chama na kutekeleza ahadi za ilani ya uchanguzi ya CCM, akiwa katika Jimbo la Kwahani, Shehia ya mikunguni.
No comments:
Post a Comment