Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na NishatiRamadhan Abdalla Shaaban (kulia) alipokuwa akitoaTaarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Naibu wake Haji Mwadini Makame
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar iliyosomwa na Waziri Ramadhan Abdalla Shaaban (hayupo pichani) mbele ya Mwenyekiti wa KIkao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment