Habari za Punde

Kisiwa cha Kojani na usafi wa mazingira


HALI ya utupaji taka taka ovyo pembezoni mwa mwa bahari kwenye kisiwa cha Kojani wilaya ya wete Pemba, umeonekana kupungua kwa kiwango kikubwa, baada ya wananchi wake kupata taaluma ya usafi wa mazingira kupitia jumuia ya vijana jimbo la Kojani KOYMOCC, (Picha na Haji Nassor, Pemba





MITARO ya maji machafu imetajwa kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa, ambayo huchangia kuchafua mazingira ya Kisiwa cha Kojani Pemba, ambapo hayo yalishuhudiwa wakati wananchi kisiwani humo walipokuwa na ziara ya kuangalia hali ya usafi wa mazingira, chini ya Jumuia ya Vijana jimbo la Kojani KOYMOCC, (picha na Haji Nassor, Pemba).





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.