Habari za Punde

Rais Dk Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma  katika  utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma   wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyosomwa na Waziri Haroun Ali Suleiman (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  mbele ya Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.