Habari za Punde

Tamasha la Sauti za Busara Laendelea na Burudani kwa Wasanii mbalimbali

Masanii kutoka Nchini Cameroon Eric Aliana akitowa burudani katika jukwaa la Sauti za Busara viwanja vya Ngome Kongwe Zanzibar linaloendelea na burudani yake kwa wageni waliohudhuria Tanmasha hilo la siku nne.  
 Msanii kutoka Mozambique Isabel Novell, akitowa burudani ya mziki wa live katika jukwaa la Sauti za Busara ngomekongwe Zanzibar.
Msanii Msafiri Zawose akiwa na chombo chake za muziki akitowa burudani ya mziki wa live kwa wageni na wenyeji wa Zanzibar wakipata burudani hiyo katika viwanja vya ngomekongwe 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.