Habari za Punde

UJUMBE WA TAASISI ZA UMOJA WA MATAIFA NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania Alvaro Rodriguez akiongoza ujumbe wa Wakuu wa Taasisi za Umoja wa Mataifa wenye Ofisi zao Nchini  Tanzania  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kuonana na Rais
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza naUjumbe wa Wakuu wa Taasisi za Umoja wa Mataifa wenye Ofisi zao Nchini  Tanzania  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana ukiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania Alvaro Rodriguez (wa pili kulia)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza naMwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania Alvaro Rodriguez akiongoza Ujumbe wa Wakuu wa Taasisi za Umoja wa Mataifa wenye Ofisi zao Nchini  Tanzania  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.