Sheikh Fadhil bin Juma akizungumza wakati wa kuanza du'aa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar. Shughuli hii ilifanyika katika Masjid Muhammad, Mombasa kwa mchina leo
Baadhi ya mashaaikh waliohudhuria duaa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar
Viongozi wa kidini nao pia walikuwepo katika duaa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar
Waumini wa dini wa kiislamu waliohudhuria duaa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar wakisikiliza kwa makini nasaha kutoka kwa Mashekhe
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakisikiliza duaa pamoja na kuitikia wakiwa katika hali ya unyenyekevu na utulivu
Sheikh Ali Bakari na Sheikh Fadhil Juma wakisoma duaa ya kuiombea na kuitakia Zanzibar Amani iliyofanyika Masjid Muhammad kwa mchina leo
wacheni unafik wenu huwo nyinyi ndo mnoleta choko choko, duwa gani hiyo itopokelewa mashkhe uchwara nyie
ReplyDelete