Habari za Punde

Maalim Seif akagua wagonjwa Hospitali ya Mnazimmoja

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoka hospitali kuu ya Mnazi mmoja alikokwenda kuangalia wagonjwa
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwajuilia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wanawake, hospitali kuu ya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na baadhi ya madaktari walioko kwenye  mazoezi ya vitendo katika hospitali kuu ya Mnazi mmoja alikokwenda kwa ajili ya kuangalia wagonjwa. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.