Habari za Punde

Maziko ya Mama wa Mwanamuziko Ray. Bi Bernadeta Francis Chacha Kianga Zanzibar

Marehemu Bi Bernadeta Francis Chacha wakati wa uhai wake, amefariki juzi usika katika hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar saa tatu usiku, baada ya kuugua kwa muda mfupi na mauti kumkuta Mwenyezi Mungu Amsemehe makosa ampokee na kumuweka ,alazi yalio mema Amani.
Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi akitowa heshima yake wakati wa uuaga mwili wa marehemu alipofika nyumbani kwake Kianga kuwafariji wana ndugu na famalia ya marehemu.
Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mtoto wa marehemu William alipowasili katika viwanja vya msiba kuwafariji wana Familia.
Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwafariji watoto wa marehemu Bi Bernadeta Francis Chacha alipofika nyumbani kwao, wa kwanza Mtoto wa marehemu na Mwanamuziki wa Band ya coconut Band Ray anayefata pia mtoto wa marehemu Bi. Alama.
Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, akimsikiliza Naibu Kastibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai,akiwafariji watoto wa marehemu Bi Bernadeta Francis Chacha alipofika nyumbani kwao, wa kwanza Mtoto wa marehemu na Mwanamuziki wa Band ya coconut Band Ray anayefata pia mtoto wa marehemu Bi. Alama.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akiwafariji wana ndugu alipowasili kutowa mkono wa pole.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akiwafariji watoto wa marehemu Bernadeta Chacha alipowasili nyumbani kwa marehemu kutowa mkono wa pole wa Ndugu na Jamaa wa marehemu katika Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja.
Balozi Ali Karume akiwafariji watoto wa marehemu alipofika kutowa mkono wa pole kwa Wanafamuilia 
Meneja wa Kampuni ya Boti ya Azam Marine Zanzibar  Ndg Mashauri akitowa mkono wa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu Bi Bernadeta Francis Chacha nyumbani kwake kianga Zanzibar.
 
Vijana wa Chipukizi wakiwa wamebeba kofinin lenye mwili wa marehemu tayari kwa kutowa heshima za mwisho kwa ndugu na jamaa wa marehemu.
Balozi Ali Karume akitowa heshima wakati wa kuuanga mwili wa marehemu Bi Chacha nyumbani kwake kianga Zanzibar 
     Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakitowa heshima zao wakati wa kuuga mwili wa marehemu
Wananchi wakipita mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu kutowa heshima zao za mwisho.
         Wanafamilia ya marehemu wakipita kutowa heshima zao kwa kuuaga mwili wa mama yao.





















3 comments:

  1. Pole Sana rafiki yangu Ray. Tulifanya Kazi pamoja Enzi hizo Ocean Tours.

    ReplyDelete
  2. Pole kaka Ray kwa msiba uliokufika, kuweni na subira wafiwa na kumbuombea marehemu malazi mema , Ameen

    ReplyDelete
  3. Pole Ray, Inna lillah wainna ilayhi rajighuun, yeye katangulia nasi tupo nyuma yake. Ujumbe kwa viongozi wetu hasa ambao ni waislam, kudumisha undugu na utanzania wetu sio lazima mfanye mambo ambayo yako nje ya misingi ya dini yenu jamani, imehusu nini kwenda kutoa heshima kwa maiti alieachwa wazi. Tuwapende wenzetu, tuishi nao, tuende kuwpa msaada wanapopatwa na majanga lakini tunayokatazwa tusiyafanye.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.