Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akikagua gwaride la
wakaguzi wasaidizi wa polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa
hao katika chuo cha polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Naibu Inspekta
Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akimvisha cheo wp 2704 ssgt Batuli
kuwa mkaguzi msaidizi wa jeshila polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya
maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la
Polisi.
Wahitimu wa
kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima kwa mgeni
rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha
polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Wahitimu wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima kwa mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Wahitimu wa
kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakiimba kumkaribisha mgeni rasmi wakati
wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.)
No comments:
Post a Comment