Habari za Punde

Tunzo ya Wanamuziki Bora Zanzibar 2015 Salama Hall Bwawani Zanzibar.

Wasanii wa Smart Zanzibar wakitowa burudani siku ya kukabidhui Tunzo kwa Wasanii Bora Zanzibar iuliofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Zanzibar Media Corporation MhE Mohammed Seif Khatib akiwa na Mgeni Rasmin Mhe Dk Mwinyihaji Makame wakifuatilia hafla hoyo ya Utowaji wa Tunzo ya Wanamuziki Bora Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani. 
Mwenyekiti wa ZMC Mhe Mohammed Seif Khatib alizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Tunzo kwa Wanamuziki Bora Zanzibar, iliofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar 
Wananchi wakifuatilia Utowaji wa Tunzo kwa Wasanii Bora wa Zanzibar wa Sanaa mbalimbali za Muziki Zanzibar.
MC Shamira Rery akisherehesha hafla hiyo ua utowaji wa tunzo akiwa jukwaani kueleza utaratibu wa hafla hiyo
MC Mustafa Mussa akisherehesha hafla hiyo ua utowaji wa tunzo akiwa jukwaani kueleza utaratibu wa hafla hiyo
Wasanii wa Kundi la Swahili Vibe wakitowa burudani wakati wa hafla hiyo ya utowaji wa Tunzo kwa Wasanii wa Zanzibar Bora kwa mwaka 2014/ 2015
Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu ya Zantel Ndg Mussa Baucha akimkabidhi Tunzo Msindi wa Tunzo ya Video Bora ya Mwaka Muziki wa Kizazi Kipya.Ndg Nassir Vyanila. ameibuka mshindi wa Tunzo hiyo kwea mwaka 2014/2015
Wadhamini wa Tunzo ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya na Asili Zanzibar wakifuatilia utoaji wa Tunzo hizo katika Ukumbui wa Salama Hall Bwawani Zanzibar
Mbunifu wa Mavazi Zanzibar Farouk akikabidhi Msanii Bora wa Video ya Taarab ya Kisasa kwa Mwaka 2014/2015 Bi Saada Nasoor.

Msanii Bora wa Taarab kwa Video Bora Saada Nassor akiwa na Tunzo yake baada ya kukabidhiwa na kuwa mshindi wa Tunzo nyingi kwa mwaka huu 


Mwenyekiti wa Kampuni ya Zanzibar Media Corporation Mhe Mohammed Seif Khatib akiwa na Mgeni Rasmin Mhe Dk Mwinyihaji Makame, na kushoto Waziri wa Elimu Zanzibar Mhe Ali Juma Shamuhuna,wakifuatilia hafla hiyo ya Utowaji wa Tunzo ya Wanamuziki Bora Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani. 
Wapenzi wa Muziki Zenj wakifuatilia Utoaji wa Tunzo ukumbi wa Salama Bwawani Zenj hivi karibuni  
Meneja wa Benki ya NBC Zanzibar, Ndg Salum Rupia akimkabidhi Tunzo Msanii Bora wa Mwaka wa Muziki wa R&B Ndg.Pozi Adam baada ya kuibuka msindi wa Tunzo hiyo kwa mwaka 2014.2015.
Msanii wa Kizazi kipya muziri wa R&B akitowa haii kwa wapenzi wake baada ya kumpigia kura za ushindi. 
Wasanii wa B Six wakilishambulia jukwaa wakati wa sherehe za Utoaji wa Tunzo kwa Wasanii Bora Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Sensa Zanzibar Ndg Suleiman Mbarouk akimkabidhi Tunzo Msanii Bora wa Muziki wa Afro Pop kwa mwaka 2014/2015 Msanii Mabawa akiwa na tabasamu wakati wa kukabidhiwa Tunzo hiyo katika ukumbi wa salama bwawani Zanzibar.

Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu ya Tigo Ndg Ibrahim Attas akimkabidhi Tunzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki wa Zanzibar Dj Mandeve. ameibuka mshindi wa Tunzo hiyo akipongezwa na Msanii wa Kizazi Kipya wakati wa kukabidhiwa tunzo hiyo. 

Mwenyekiti wa Kampuni ya Zanzibar Media Corporation Mhe Mohammed Seif Khatib akiwa na Mgeni Rasmin Mhe Dk Mwinyihaji Makame, na kushoto Waziri wa Elimu Zanzibar Mhe Ali Juma Shamuhuna,wakifuatilia hafla hiyo ya Utowaji wa Tunzo ya Wanamuziki Bora Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani. 
















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.