Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Polisi na Chuoni Uwanja wa Amaan

Mshambuliaji wa timu ya Polisi akimpita beki wa timu ya Chuoni wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Chuoni imeshinda bao 1--0.
   Golikipi wa timu ya Chuoni akiokoa moja ya hatari golini kwake wakati wa mchezo wao wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan. 
                          Mchezaji wa timu ya Chuoni na wa Polisi wakiwania mpira.
Mshambuliaji wa timu ya Polisi akiambaa na mpira huku beki wa timu ya Chuoni akijiandaa kumzuiya.

























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.