Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Akabidhi Zawadi kwa Washindi wa Ligi za Junior, Centrel.

Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe Ali Salum akimkabidhi Kikombe Mwenyekiti wa Kamati ya Ligi za Watoto Zanzibar Ndg Madungu kwa ajili ya Washindi wa michezo hiyo inayomalizika kesho na kukabidhgiwa zawadi mabingwa wa Ligi za Watoto Zanzibar Mhe Ali Salum alikabidhi Vikombe viwili na Fedha taslim shilingi milioni 1,200,000/ kwa washindi.







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.