Habari za Punde

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na makamanda wa meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Chifu Edward Wanzagi wa kabila la Wazanaki (kati) pamoja na Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe Makongoro Nyerere baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo (PICHA NA IKULU)

2 comments:

  1. Unanikumbusha mbali chozi linanitoka wakati ule zanzibar tuna Navi ,hivi nikienda kwa Brother wangu nazikuta bado picha zake akiwa Nevi wa kweli baada ya kutoka maomoni nchi za nje miaka hiyo wegi watoto wa kizanzibari kwa wakati ule tulipenda nasoie tuwe wakubwa na elimu tukasome unevi akini leo wapi Kikosi cha kuzuwiya magendo hatujuwi lakini Mungu muweza hashindwi

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu hayo usemayo hayana ufa.Zanzibar tulikuwa mbali katika hatua za ustawi wa jamii.Mambo tuliokuwa nayo pyalikuwa ya kujivunia lakini wapii.Hata hivyo tusikate tamaa,la msingi ni kujitathmini upya na kujiamulia wenyewe maamuzi yenye maslahi kwa wazawa wa visiwa vyetu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.