Habari za Punde

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu ya heshma ya gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama mara alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama mara alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha miaka 51,
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Viongozi wengine wa Kitaifa wakisimama kupokea salamu ya heshma ya vikosi vya ulinzi na usalama wakati vilipopita mbele kwa gwaride maalum  katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

 Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ waliobeba Bendera wakipita mbele ya jukwaa kubwa kutoa heshma kwa mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanaganyika na Zanzibar zilizofanyika leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dares Salaam






Vijana wa halaiki wakiimba wimbo maalum wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Wazir Mkuu wa Tanzania Mizengo Kayanza Pita Pinda baada ya kumalizika kwa Sherehe za Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika leo katika Uhuru Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kumalizika kwa Sherehe za Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika leo katika Uhuru Jijini Dar es Salaam

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik baada ya kumalizika kwa Sherehe za Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika leo katika Uhuru Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mama Salma Kikwete (kulia) wakifuatana baada ya kumalizika kwa chakula cha mchana alichokiandaa Rais Kikwete kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali Ikulu Jijini Dar es Salaam katika kusherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tnaganyika na Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.