Habari za Punde

Ujio wa Timu ya Veterani wa Barcelona Zenj

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Ndg Khamis akizungumza na waandishi wa habari uwanja wa ndege kuhusiana na ujio wa Timu ya Wachezaji wa Zamazi wa Barcelona inayowasili Zanzibar kwa mualiko wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Timu ya Wachezaji wa Barcelona Ndg Omar Hassan King. akizungumza na vyombo vya habari mbalimbali na kuwaomba radhi wananchi kuhusiana na uchelewaji wa timu hiyo kutoka Arusha na kusababisha programu ya michezo ya timu hiyo ilikuwa kufanyika katika uwanja wa amaan kuahirishwa hadi leo. kufanyika kama ilivyopangwa .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.