Wanamichezo wa NSSF wakiwasili Zanzibar kushiriki katika michezo ya Pasaka na wenyeji wao timu ya ZSSF mchezo wao na timu ya ZSSF unatarajiwa kufanyika kesho katika uwanja wa Amaan, wakiwasili na boti ya Kilimanjaro 4, katika bandari ya malindi Zenj.

Wanamichezo kutoka Dar-es-Salaam wakiwasili katika Bandari ya Zanzibar wakitokea Dar kwa ajili ya kushiriki Tamasha la Michezo la Pasaka mwaka huu linafanyika Zanzibar katika viwanja mbalimbali vya michezo na burudani.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Jamii wa NSSF na Mkuu wa Msafara wa Wanamichezo wa NSSF Juma Kintu akisalimiana na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF baada ya kuwasili katika bandari ya Zanzibar kuaza utani wa kimechezo
Wanamichezo wa Tamasha la Michezo ya Pasaka wakiwasili katika bandari ya Zanzibar tayari kwa michezo yao hapo kesho katika viwanja mbalimbali vya michezo Zanzibar.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Ndg Mussa Yussuf akiwapokea wageni wao kutoka Mfuko wa Jamii wa NSSF wakati wakiwasili katika bandari ya malindi Zanzibar,
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Ndg Mussa Yussuf akiwapokea wageni wao kutoka Mfuko wa Jamii wa NSSF wakati wakiwasili katika bandari ya malindi Zanzibar,
Wanamichezo wakiwa na bashasha walipowasili katika bandari ya Zanzibar kwa ajili ya kuimarisha Udungu wa Kimichezo kwa pande mbili hizi kutembelea kila mara kwa zamu mara Zanzibar na mara Tanzania Bara.
Wanamichezo wa timu ya Mfuko wa Jamii NSSF wakiwasili katika bandari ya Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Michezo la Pasaka wakipokelewa na wenyeji wao timu ya ZSSF, Wanamichezo hao wanategemea kucheza michezo yao kesho katika viwanja vya Amaan, kwa michezo ya mpira wa miguu na wa Pete kwa Wanawake
Hii picha ya 3 huyu mwanamke kuja na ki kaptura alitakiwaarejeshwe kwao.Wakati wa marehemu Karume kulikuwa hakuna upumbavu hui wazungu walikuwawanavalishwa vikoi.
ReplyDelete