SHEHA wa shehia ya Kipangani Ali Said
Hamad akifungua mkutano wa kuelimisha katiba inayopendekezwa, ulioandaliwa na
Kituo cha Hudma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba, kulia ni Hakimu wa
Mahakama ya Ardhi mkoa kusini Pemba Salim Hassan Bakar na kushoto ni Mratibu wa
ZLSC Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
MWANASHERIA wa serikali Albaghir
Yakout Juma, akitoa ufafanuzi wa Katiba inayopendekezwa mbele ya wananchi wa
wilaya ya wete Pemba, mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambao uliofanyika Jamhuri Hall wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MMOJA wa wananchi wa wilaya ya Wete
akitaka ufafanuzi wa Ibara ya 97 juu ya ‘Bunge kumshitaki rais’ kwenye katiba
inyopendekezwa, wakati Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC walipofika
kutoa elimu ya katiba hiyo kwa wananchi gazi ya wilaya, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment