WALIOACHA madawa ya kuleavya wakiwa wanalelewa
kwenye nyumba za kurekebisha tabia Sober House, wakiwa ni miongoni mwa makundi
yalioshiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, ambapo kwa kitaifa kwa
Zanzibar, zilifanyika Chake chake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi
dk Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wafanyakazi walijitokeza kwenye
maandamano yaliopamba kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani
yaliofanyika Kisiwani Pemba kitaifa kwa Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba)..
WANFAYAKAZI
wa kapuni ya simu ya T.T.C.L wakipita mbele ya mbele
ya mgeni rasmi rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,
ambapo kwa kitaifa kwa Zanzibar zilifanyika Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
BAADHI ya wafanyakazi waliohudhuria kwenye
kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi dunia, ambapo kitaifa kwa
Zanzibar zilifanyika Chake Chake Pemba, wakimsikiliza rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa baraza la Mpinduzi dk, Ali Mohamed Shein wakati akizungumza na
wafanyakazi hao mara baada ya kupokea maandamano yao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa vyama vya wafanyakazi Zanzibar ZATUC,
dk Zaharan Mohamed Nassor, akitoa hutuba ya kumkaribisha rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk Ali Mohamed Shein, kwenye kilele cha
maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambapo kwa Zanzibar kitaifa,
zilifanyika Kisiwani Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk
Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi ya ufanyakazi bora mpiga picha wa Ikulu,
Abdalla Haji kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, ambapo kitaifa
kwa Zanzibar zilifanyika Kisiwani Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la
Mapinduzi dk Ali Mohamed Shein akizungumza na mamia ya wafanyakazi wa taasisi
za umma na binafsi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya
wafanyakazi duniani, ambapo kwa Zanzibar ilifanyika Kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment