Habari za Punde

Mbio za Mwenge Wilaya ya Magharibi Unguja kuzindua Miradi ya Maendeleo.





 Vijana wa Mwera wakihamashisha wakati wa mapokeazi ya mwenge wakati ukuwasili katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja.
 Gari maalum iliobeba mwenge ikiwasili katika Kijiji cha Mwara kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa Wananchi wa Ujenzi wa Daraja la kijiji cha mwera. kutowa huduma kwa wananchi wa kijiji hicho.











No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.