BAADA ya wananchi wa shehia za Mtambwe Kaskazini na Mtambwe Kusini wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, kukaa Zaidi ya miaka 50 kwa kukosa barabara, sasa wananchi hao wanafaida juhudi za serikali yao ya awamu ya saba, baada kujenga bara bara yao kwa kiwango cha lami, (picha na Haji Nassor, Pemba).
FUNDI wa kushona nguo ambae hakupatikana jina lake wa shehia ya Wingwi Mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, akielezea mafanikio ya kazi yake na hasa baada ya kujengewa barabara yao kwa kiwango cha lami na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya awamu ya saba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment