Habari za Punde

Rais Shein Akutana na Balozi wa Oman Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Tanzania Shilingi Billioni 12.3 kutoka Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  ikiwa ni msaada  kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa  kiwanda cha upikaji Chapa (kushoto  Balozi Mdogo  wa Oman  aliyepo  Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi  hafla ya makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi   waOman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.