Mradi wa kuwasomesha wanawake Makunduchi chini ya mashirikiano kati ya wadi za Makunduchi na Manispaliti ya Kiruna Sweden umewapatia fursa ya masomo zaidi Kiruna.
Kutoka kulia ni Hafidha Mussa na Yusra Abdalla wakati wa kujizoesha mazingira ya Kiruna wakati huu wa baridi.
Mwanafunzi Yusra Abdalla kutoka kulia na Hafidha Mussa kutoka Makunduchi wakishiriki kwenye matayarisho ya siku ya Pamoja yenye lengo la kupinga vitendo vya kibaguzi.
No comments:
Post a Comment