Habari za Punde

Polisi Mabingwa Ligi Kuu ya Mchezo wa Basket Ball Zanzibar Mabingwa

Waziri wa Nchi Ofisi ra Rais Ikulu Dk Mwinyihaji Makame akizungumza na Wananchezo baada ya mchezo ya Fainali la Kombe la Klabu Bingwa Basketi Ball Zanzibar chin i ya Udhamini wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, zilizofanyika katika uwanja wa Gymkhana.
Waziri Dk Mwinyihija Makame akimkabidh zawadi Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Basketi Dulla Zungu, michuano hiyo iliozishirikisha Timu 15 za Pemba na Unguja   
Waziri Dk.Mwinyihaji Makame akimkabidhi nahodha wa timu ya Polisi kwa kunyakua Ubingwa wa Mchezo huo baada ya kumalizika kwa michuano ya Ligi Kuu ya Basketi Ball Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Gmykhana 





Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Dk Mwinyihaji Makame akimkabidhi nahodha wa timu ya JKU Wanawake washindi wa Pili wa Ligi Kuu ya Mchezo wa Basketi Ball Zanzibar.kulia Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Bihindi Hamad 
Wanamichezo washiri wa Ligi Kuu ya Basketi Ball Zanzibar wakimsikiliza Waziri Dk Mwinyihaji Makame akitowa nasaha zake kwa wanamichezo hao baada ya kumalizika kwa michuano hiyo iliodhaminiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, 
Wanamichezo washiri wa Ligi Kuu ya Basketi Ball Zanzibar wakimsikiliza Waziri Dk Mwinyihaji Makame akitowa nasaha zake kwa wanamichezo hao baada ya kumalizika kwa michuano hiyo iliodhaminiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, 
Wachezaji wa timu ya Africa Magic wakishangilia Kombe lao la Ubingwa wa Zanzibar kwa Wanawake baada ya kushinda michezo yao. 
Wapenzi wa timu ya Basketi ya Polisi wameibuga Mabingwa wa Ligi Kuu ya Mchezo wa Basketi kwa mwaka 2015-2016,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.