Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein. Hafla hiyo imewajumuisha viongozi mbali mbali wakiwemo Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho na Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni 26/06/2015. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Idd baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ikulu
Baadhi ya wananchi na viongozi waliojumuika katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ikulu
No comments:
Post a Comment