MDHAMINI wa taasisi ya Samael Academey sheikh
Said Abdalla Nassor, akiuliza suali kwa lugha ya kiarabu kwa mwanafunzi, kwenye
mashindano ya lugha ya kiarabu, yalioandaliwa na taasisi hiyo, yaliofanyika
msikiti wa uwanja wa Gombani wilaya ya Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa taalamu taasisi ya Samael Academy
sheikh Burahan Khamis Juma, akisoma risala ya taassi hiyo kwa mkuu wa mkoa wa
kaskazini Pemba Mhe: Omar Khamis Othman kwenye mashindano ya lugha ya kiarbu,
yaliofanyika msikiti wa uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa taasisi ya Samael Academy sheikh
Nassor Said Al-rayawahy akielezea mikakati ya taasisi hiyo, katika masuala ya
kielimu, kupiga vita umaskini mbele ya mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemb Mhe: Omar
Khamis Othuman kwenye mashindano ya lugha ya kiarabu, yalioandaliwa na taasisi
hiyo, na kufanyika msikiti wa uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa mkoa wa kaskazini Pema Mhe: Omar
Khamis Othman akizungumza, mara baada ya kushuhudia mashindano ya lugha ya
kiarabu kwa wanafunzi wa madrass mbali mbali Kisiwani Pemba, yaliondaliwa na
taasisi ya Samael Academy na kufanyika msikiti wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment