Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho,akiendesha Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea kupitisha Bajeti za Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akitowa majumuisho ya Hutuba yake ya Bajeti wakati wa kupitisha Bajeti yake.
Kikao cha Baraza la Wawakilishi Kikikaa kama Kamati kupitisha Vifungu vya Bajeti ya Wizara ya Fedha Zanzibar
Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Wawakilishi wakiendelea na Kikao chake kuendelea kuchangia Bajeti ya Wizara ya Fedha Zanzibar.
Mhe Pandu Ameir Kificho akitoka katika ukumbi wa Mkutano akiongozwa na askari wa Baraza
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akitoka ukumbi wa Mkutano baada ya kumaliza kupitisha Bajeti ya Wizara ya Fedha Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe Said Mohammed Dimwa katikati akisisitiza jambo na wajumbe wezake kushoto mwakilishi wa kikwajuni Mhe Mahmoud Mohammed Mussa na kulia mwakilishi wa bumbwini Mhe Mlinde Haji.
Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Mhe Hamza Hassan akibadilishana mawazo na watendaji wa Wizara ya Fedha, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe Said Hassan, akizungumza na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe Mahmoud Thabit Kombo na katikatika Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg Khamis Mussa wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa.
No comments:
Post a Comment