KUONGEZEKA kwa magari katika Kisiwa Cha Pemba, imekuwa ni mzigo mkubwa kwa steni ya dalala ya Chake Chake, pichani askari wa Usalama wa barabarani mkoa kusini Pemba, akiziongoza gari kuingia na kutoka katika steni hiyo.(Picha na Abdi Suleiman,
SUALA la Utii wa Sheria bila ya shuruti linahitaji
kuzingatiwa kwa umakini Mkubwa, pichani abiria wakiwa wananinginia katika daladala
ya abiria yenye ruti kati ya Chake Chake na Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KUMEKUWA na tabia kwa baadhi ya madereva wa gari
aina ya vikeri, kupakiwa kinyume na taratibu katika maeneo mbali mbali ya mji
wa Chake Chake, pichani askari wa usalama wa barabarani mkoa wa kusini Pemba,
akibishana na dereva wa kikeri hicho baada ya kukataa kukiondosha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment