Habari za Punde

Miundombinu isiposhughulikiwa kwa umakini

 LICHA ya Serikali kutafuta wafadhili kwa ajili ya miradi mbali mbali ya maji kwa wananchi, lakini bado mamlaka husika zinazosimamia masuala ya maji, zinashindwa kuwa makini kutembelea viungio vya maji laini kubwa, pichani maji yakimwagika katika kiungo cha maji, laini kubwa huko mjengo wa Banda Wawi chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.