Habari za Punde

Kitendawili cha kumaliza njia ya kukimbilia (Tartan) Uwanja wa Gombani bado hakijegulilwa

BADO kitandawili cha kumalizia ujenzi wa uwanja wa Gombani kuweka njia ya kukimbilia ‘tartan’ hakijapatiwa jibu ambapo hadi sasa uwanja huo umebakia na kokoto pembezoni mwake, jambo ambalo linaweza kusababisha athari kwa wachezaji pindi wakianguka, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.