Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Mateo Simon, akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Gor Mahia ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande).
Beki wa Gor Mahia, Karim Nizigiyimana akimtoka Juma Mbwana Faki.
Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Juma Mbwana Faki akimtoka kipa wa Gor Mahia ya Kenya, Boniface Oluoch.
Mchezaji wa KMKM, Pandu Haji Pandu akimtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Mussa Mohamed.
Pandu Haji Pandu akimtoka Erick Ochieng
Mshambuliaji wa KMKM, Mateso saimo akimtoka Michael Olunga.
Mshambuliaji wa KMKM, Mateso saimo akimtoka Michael Olunga.
Wachezaji wa Gor Mahia ya Kenya wakiomba dua pamoja na wachezaji wa KMKM ya Zanzibar baada ya kumalizika kwa mchezo.
JAFO ALITAKA TENA JIMBO LA KISARAWE,AREJESHA FOMU
-
*WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amerejesha fomu ya
kuomba ridhaa ya kutetea tena Ubunge katika Jimbo la Kisarawe*
*Dkt.Jafo amer...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment