Mhe Haji Omar Kheri akimkabidhi Fomu zake za kugombea Uwakilishi Jimbo la Tumbatu Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja Ndg Shaffi Hamad akikhakiki fomu za Mgombea wa Jimbo la Tumbatu Uwakilishi Mhe Haji Omar Kheri. wakati wa kurejesha fomu hizo
Mwakilishi wa Tumbatu Zanzibar Mhe Haji Omar Kheri akiwa shindikizwa na Mkewe akisaini kitabu cha kurejesha Fomu ya Kugombea Uwakilishi Jimbo la Tumbatu Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe Haji Omar Kheri akiagana na Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja Ndg Shaffi Hamad baada ya kumkabidhin fomu zake
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Amini Salimini akisalimiana na Mwakilishi wa Tumbatu Zanzibar Mhe Haji Omar Kheri walipokutana wakati wa kurejesha fomu za kugombea katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kaskazini A Gamba Unguja.
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe.Haji Omar Kheri, akiwa na familia yake baada ya kurudisha fomu juzi kugombea tena nafasi hiyo ya Uwakilishi wa Jimbo la Tumbatu kupitia Chama cha Mapinduzi akiwa nje ya Ofisi za CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja 

No comments:
Post a Comment