Habari za Punde

Lowassa Ajiunga Rasmin Chadema leo jioni na Kukabidhiwa Kadi.

Waziri Mkuu Mstaaf Edward Lowassa akiwa na Mkewe baada ya kutangaza rasmin kujiunga na Chama cha CHADEMA,leo jioni na kukabidhiwa Kadi ya Cham hicho wakionesha kadi zao baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman  Mbowe.
Mwanachama Mpya wa CHEDEMA Mhe Edward Lowassa akizungumza nas waandishi wa habari wakati akitangaza kukihamas rasmin Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA 

1 comment:

  1. Ni ukurasa mpya ktk historia ya. siasa za Tza na CCM-Bara! Hapo awahi haikuwahi kutokea kwa kwa waziri mkuu mstaafu kuhama chama.

    Hii si habari njema hata kidogo kwa chama cha mapinduzi kwani mzee atakua amefungua njia kwa wale wote watakaodai kutokutendewa haki ndani ya chama .

    Madhara ya Lowassa kwenda upinzani yanafanana kidogo na yale ya Mansoori na mzee Moyo ambayo yamewafanya baadhi ya wanachama waone njia mbadala pale wanapoharibikiwa ndani ya CCM.

    Matarajio yetu ni kwamba CCM bado itashinda uchaguzi hasa urais lkn."Situation will never be the same again" nguvu zitapungua na changamoto za hapa na pale zitakuwepo.

    ANGALIZO KWA CCM-Zanzibar:

    Tufanye kazi kukiimarisha chama, tuache kufanya mchezo wa kuitegemea CCM-Bara "mtumai cha ndugu hufa maskini". hali ya CCM-Bara itakavyokua mwaka huu ni vigumu kuweza kutusaidia!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.