Habari za Punde

Maalim Seif afutarisha Mtambwe

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutari pamoja na watu wa Mtambwe, kijiji ambacho kiongozi huyo alizaliwa.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoa shukrani baada ya kufurati pamoja na watu wa Mtambwe, kijiji ambacho kiongozi huyo alizaliwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na wananchi wa Mtambwe baada ya kufutari nao pamoja. (Picha na OMKR)





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.