Mshereheshaji katika Kongamano la Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibari Otman Mohd (Makombora )akitoa maelezo mafupi ya kongamano litakavyokuwa katika Ukumbi wa Suza mjini Zanzibar
-Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibar wakisikiliza kwa makini mada inayowasilishwa katika Ukumbi wa Suza mjini Zanzibar
Katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Bimwanahija Ali Juma ambae ni mgeni rasmi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la 20 la Mzanzibari katika Ukumbi wa Suza mjini Zanzibar.
Mtoa mada Bimwanahamisi Hamadi akiwasilisha mada ya Athari za Utalii katika kuendeleza Utamaduni katika Tamasha la 20 la Mzanzibari katika Ukumbi wa Suza mjini Zanziba
Mmoja kati ya washiriki wa Tamasha la 20 la Mzanzibari Abdalla Alawi akichangia mada iliowasilishwa katika Tamasha hilo katika Ukumbi wa Suza mjini Zanzibar.(Picha na Yussuf Simai -Maelezo Zanzibar)
No comments:
Post a Comment