Habari za Punde

Wanachama wa Jumuiya ya Vijana Cahkechake wapanda miti


WANACHAMA wa Jumuiya ya Vijana ya Machomanne Chake Chake Pemba, wakiwa katika harakati zao za kupanda miti katika bustani mbali mbali za barabara ya Machomanne Chake Chake, mara baada ya kupatiwa vifaa mbali mbali na mke wa Mkamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.