Habari za Punde

Timu ya Mkunazini Yatowa Burudani Safi katika Michezo ya Bonaza la Masauni Cup. Yatoa Kichapo cha Mabao 3--1 Dhidi ya Timu ya Rahaleo

Mchezaji wa timu ya Mkunazini akimpita mchezaji wa timu ya Rahaleo wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja timu ya Mkunazini imeshinda 3--1. 
Kizaaza katika goli la Rahaleo wakati wa mchezo huo wa Bonaza timu ya Mkunazi imeibuka kidedea 
Mchezaji wa timu ya Mkunazini akizuiya mpira wakati wa michuano ya Bonaza inayoendelea katika mchezo Bonaza. 
Wapenzi wa timu ya Mkunazini wakifuatilia mchezo wa timu yao inayoshiriki michuano ya Bonaza linalofanyika katika viwanja vya malindi mmnazi mmoja usiku.
                       Mchezaji wa timu ya Mkunazini akiwapita wachezaji wa Rahaleo.
Mchezaji wa timu ya Taifa na Malindi Ali Sharif (Adof) akitowa maelekezo kwa mchezaji wake wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza. 
                                                          Hali ya uwanja wa mnazi mmoja
Mchezaji wa timu ya Mkunazini akizuiya mpira huku mchezaji wa timu ya Rahaleo akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup.
           Wachezaji wa timu ya Mkunazini wakishandilia bao lao la tatu dhidi ya timu ya Rahaleo.

Mchezaji wa timu ya Rahaleo na Mkuwazini wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Bonaza Masauni Cup linalofanyika katika uwanja wa mnazi mmoja Zanzibar.
Askari Jamii wa Kikwajuni wakihakikisha usalama unaendelea katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa Bonaza la Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja. 





           Wachezaji wa timu ya Rahaleo wakimlalamikia muamizi wa mchezo huo.

                       Mchezaji wa timu ya Rahaleo akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazini
                      Mchezaji wa timu ya Rahaleo na Mkunazini wakiwania mpira
                 Mchezaji wa timu ya Mkunazini akimpiga chenga mchezaji wa timu ya Rahaleo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.