MKURUGENZI wa Idara ya Maafa Zanzibar Ali Juma Hamad,
akizungumza na wajumbe wa kamati ya maafa Wilaya ya Mkoani pamoja na walimu wa
skuli za sekondari na msingi Wilaya hiyo, huko katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAJUMBE wa kamati ya maafa ya Wilaya ya Mkoani,
pamoja na walimu wa skuli za sekondari na Msingi Wilayani humo, wakimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Idara ya Maafa Zanzibar ambae hayupo pichani wakati
alipokuwa akifungua warsha ya siku mbili.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA elimu Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba Seif
Mohamed Seif, akichangia mada ya sheria ya kupunguza na kukabiliana na maafa
Zanzibar na mambo mengine, wakati wa kongamano la maafa kwa wajumbe wa kamati
ya kukabiliana na maaafa wilaya ya Mkoani, walimu wa skuli za Sekondari na
Wilaya hiyo huko Mkoani.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
AFISA Mipango Wilaya ya Mkoani Mwalim Omar Shehe
Omar, akitoa ufafanuzi juu ya Wilaya kutakiwa kuwa na bajeti maalumu ya
kukabiliana na maafa pale yanapotokea.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKURUGENZI wa Idara ya Maafa Zanzibar Ali Juma
Hamad, akitoa ufafanuzi wa Maswali mbali mbali yaliyoulizwa na wajumbe wa
kamati ya kukabiliana na Maafa Wilaya Mkoani na Walimu wa skuli za Sekondari na
Msingi Wilaya ya Mkoani(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MKUFUNZI wa mada ya sheria ya kupunguza na
kukabiliana na maafa Zanzibar, Amina Talib akiwasilisha mada hiyo kwa wajumbe
wa kamati za kukabiliana na maafa Wilaya ya Mkoani na Walimu wa skuli za
Sekondani na Msingi wilaya hiyo. (Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment