Habari za Punde

Dk. Shein Achukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi leo.


 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema  Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo,[Picha na Ikulu.]
 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo,[Picha na Ikulu.]
 Wananchi wa manispaa ya Mji wa zanzibar waliofirika katika kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar   kabla ya  kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo,[Picha na Ikulu.]
 Wapanda mapikipiki waliojitokeza kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika maeneo ya Michenzanni Mjini Zanzibar   kabla ya  kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi wakiliomshikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katikaUkumbi wa salama Bwawani Mjini Unguja kabla ya kukabidhiwa Fomu  ya kugombea Urais wa zanzibar kupitia CCM na Tume ya Uchaguzi ya zanzibar ZEC leo,[Picha na Ikulu.]
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kushoto) Spika wa baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho (kushoto) Mama Mwanamwema Shein (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar VuaiAli Vuai wakiitikia dua iliyoombwa kabla ya kukabidhiwa Fomu  ya kugombea Urais wa zanzibar kupitia CCM na Tume ya Uchaguzi ya zanzibar ZEC leo iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jecha salum Jecha,[Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akikadidhiwa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha S Jecha katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika hoteli ya bwawani Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.