Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dr Omar Dadi Shajak akipata maelezo ya ujenzi wa Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kwa wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dr Omar Dadi Shajak aliyevaa kaunda suti akiwa na baadhi ya watendaji wa ofisi hiyo akikagua ujenzi wa Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kwa wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja
Jengo la Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kwa wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja likiendelea kujengwa
No comments:
Post a Comment