Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Edward Lowassa, akisalimiana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Adward Lowassa, akihutubia katika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wananchi jamii ya kimasai waliopo Zanzibar, walivyojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa UKAWA kumuunga mkono mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.
Wanachama na wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA, walivyojumuika kwenye mkutano huo uliofanyika Kibandamaiti

Baadhi ya viongozi wakuu wa UKAWA, wakijitambulisha kwa wananchi wa Zanzibar kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kibandamaiti. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment